Ujuzi na mafundisho ya elimu kuhusu: Ufugaji wakaa "crabs",mafundisho ya komputer,network za simu&computer,pamoja na masomo primary na secondary
Adsterra netwok
Wednesday, August 2, 2023
Kitanda free delivery
Sunday, July 10, 2022
FURSA YA KAZI
Fursa ni nafasi ambayo ukiifanya inakuingizia kipato.Kazi ni shughuli yeyote anayoifanya mtu inamuingizia kipato halali.
Fursa nyingi za kazi zinazopatikana Tanzania,ambazo mtu ukizingatia utajiingizia pato la siku,mwezi,wiki,mwaka.
Fursa za kazi ni aina ya kazi ambazo za kimtandao,zinahitaji mtaji.Mtaji wake ni watu,ambao utakaoshorikiana nao kutimiza malengo.
Leo naelezea kuhusu fursa za kazi kuhusu maswala ya Afya.Hii ni ajira kubwa sana kwasasa nchi za Afrika hasa Tanzania.Kutokana na changamoto ya maradhi mengi Duniani,matajiri na wawekezaji wameandaa mifumo huru ya kibiashara,ikilenga kuboresha maisha ya watu,afya na utajiri.Pia wameandaa mfumo maalum ambao mtu anaweza kufanya muda wake wa ziada bila kuathiri shughuli nyingine.
Kila Taasisi au kampuni ya afya inautaratibu wake wa kufanya kazi.Lakini zote unapoingia lazima uudhurie semena\mafunzo angalau Mara moja,uzuri mafunzo ya siku moja tu unaweza kueelewa kwa asilimia kubwa.Utapata maelekezo na mfumo wao unavofanya kazi.
Kuna Taasisi baada ya kujiunga inakupa bidhaa alafu wewe umtafute mteja umuuzie kwa bei ya ziada,ile ya ziada utachukua.Nyingine hupewi bidhaa lakini kazi yako kutafuta mteja na huyo mteja unamuelekeza ofisini anapatiwa huduma na malipo yako utayakuta ofisini.
Kampuni ya Eternal International health & wealth Care, hii ni taasisi ya afya,mmilika ni mchina na makao makuu yapo Shanghai China.Hii kampuni kubwa Duniani bidhaa zake zinapatikana zaidi ya nchi 160 ulimwenguni kote.
Hii kampuni inasaidia sana watu wengi kujiajiri na kujiongezea kipato kutokana na mfumo wake wa kufanya kazi.
Cha kwanza mfumo upo kwa madaraja 1-12,ambayo mwanachama anayejiunga atayapitia ili kupata zawadi mbali mbali.kuna zawadi za gari,nyumba,,safari nje ya nchi,pesa nk.Hatua zote utazipata kwa mpangilio na speed ya kujituma kwako,haibani muda wako utafanya matangazo kupitia simu yako.
Hapa unapojiunga unakuwa mwanachama,baada ya hapo utapata uniform na kitambulisho.Utafundishwa bure kuuandaa tangazo ambalo litawavutia wateja kwenda kupata huduma,ambazo vipimo,tiba na kuboresha afya ya mwili na akili.Utaifanaya hata ukiwa kazini,nyumbani na utapigiwa simu utawaelekeza wataenda au utawapokea kwenda kupata huduma.
Mteja atakayenunua dawa kuna PV utapata ambazo ndio zinazounda madaraja na kila xawa inakuwa na 25PV-50Pv,kwahiyo 100Pv daraja la kwanza,200PV la pili nk.
Itakusaidia kwenye zawadi kama simu,mabegi,dayari,pesa na kubadili maisha yako kabisa.
Pia unatakiwa uwaalike watu wapewe mafunzo na watajiunga pia unapata pesa kila mtu sh.20000,na pia PV zao zitajumlishwa na zako kwenda madraja ya juu zaidi.
Changamkia fursa za kazi hii hutembezi bidhaa mtaani,hapa mteja mwenye ndie anaenda labda ameshafika sasa anataka dawa umpelekee basi utampelekea ili upate pesa na PV zote pesa hizo.
Ukitaka kujua zaidi fursa hii namba ya simu ipo chini hapo utaelekezwa na ufike kwenye semina siku za jumatatu,jumatano na jumamosi SAA 9:30 asubuhi.
SIMU: 0785322941
Sunday, June 5, 2022
KUONDOA SUMU MWILINI
©Kila mwenye matatizo ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula
©Yeyote anayehitaji zaidi kuboresha afya yake
©Walio na kinga dhaifu na wanaosumbuliwa sana na maumivu ya viungo sababu ya baridi kali
©Wanaotumia tiba ya vidonge kwa muda mrefu,au wanaotibiwa kwa kutumia mionzi na wale wasio na kinga ya kutosha.
ISOMALTO-OLIGOSACCHARIDW inasidia kuondoa sumu zinazotokana na maji hewa,pamoja na matumizi ya madawa mwilini.Bidhaa hii inauwezo mkubwa wa kuondoa sumu za maradhi mwilini kwa kiasi kikubwa na kwa muda mfupi.
Inasaidia kusafisha mfumo wa chakula hasa tumbo na kulifanya liwe katika hali nzuri zaidi.
Ni nzuri kwa watu wenye matatizo ya vidonda vya tumbo,tumbo kujaa gesi na asidi,tumbo kukata au tumbo kuharisha.
Pia husaidia kwa wasiopata choo na wanaopata choo kwa ukavu sana,inasaidia kuwapa nguvu bacteria wa mwili
Wikitatu baada ya kutumia bidhaa hii kinga ya mwili huongezeka mara kumi zaidi ikiringanishwa na kinga ya kijana wa miaka 20
Matokeo huonekana baada ya siku moja mpaka tatu na matokeo mazuri zaidi huwa baada ya matumizi ya wiki moja mpaka tatu
Bidhaa hii haina mafuta homoni wala haijaongezewa kiambata chochote cha kuongeza nguvu.
MATUMIZI
®Kukoroga kijiko kimoja kwenye maji ya uvuguvugu,unakunywa mara moja kwa siku mara baada ya kula
KUPATA HUDUMA HIYO PIGA SIMU au kwa WHATSAPP
0785 322 941
Saturday, July 3, 2021
JINSI YA KUONGEZA ACCOUNT NYINGINE YA GOOGLE ACCOUNT KWENYE SIMU YAKO
JINSU YA KUFUNGUA NA KUA NA AKAUNTI ZA GOOGLE ZAIDI YA MOJA KWENYE SIMU
Leo nataka ufaham jinsi ya kuongeza google account kwenye simu yako ya #SMART.Simu janja zina uwezo wa kusapoti Internet vizuri,kutokana na uwezo wake unapokua nayo inapaswa uifungulie Email ambayo itaongeza ufanisi wa kimtandao #Internet na ulinzi au usalama kwa mtumiaji pia iwe ngumu hata kwa wadukuaji wa kimtandao.
Baada ya kufungua google account yako ya awali sasa unahitaji upate google account nyingine ili zote uwe nazo kwa mahitaji yako inakubidi uzingatie maelekezo haha:
HATUA KWA HATUA ZA KUONGEZA GOOGLE ACCOUNT KATIKA SIMU.
Kufungua google account;
Chukua simu yako,simu hiyo inamafaili kati ya hayo mafaili angalia sehemu iliyoandikwa Gmail,ibonyeze na itatokea vipengele kadhaa lakini hivyo havikusu kwa sasa ila angalia juu upande wa kusho utaona vistari vya ulalo ni apo kalibu na maneno yaliyoandikwa search mail,lakini zingatia kubonyeza vivyo vistari tuu.
Baada ya kubonyeza vitakuja vipengele Vingi lakini unatakiwa ushuke adi uone neno limeandikwa Setting na ulibonyeze,
Baada ya kubonyeza litakuja meno limeandikwa Add account pia libonyeze na utaona neno limeandikwa Set up email,
Set up e-mail ni sehemu inayokusaidia kuchagua aina ya e-mail unayotaka kutumia kwa mfano Gmail,Yahoo nk.
Bonyeza mahali palipokua na neno Gmail na kitakuja kioengele kimeandikwa Create account,pia bonyeza na yatajitokeza maneno mawili ambayo ni "for my self" na "to manage my busness".
Maneno hayo yanapojitokeza wewe bonyeza neno for my self,na itafunguka na kuja maneno Enter your name,na utaanza na jina la kwanza na kumalizia kwa jina la pili mfano wewe unaitwa Google David hapa jina la kwanza utaweka Geogle na David jina pili.utabonyeza next na inaweza kutokea na emal kadhaa inayo fanania na majina uliyo yatumia kwenye usajili huu.
Wewe nenda kubonyeza mahara pameandikwa Create your own Gmail address,apo unaweka majina upendavyo lakini hakikisha haifanani na mtumiaji mwingine,kama imetokea imefanana aikubali hadi uweke utofauti japo kwa udogo mfano; mrprofileofficial@gmail.com na uta next mwisho inajisevu!
Baada ya kumaliza kuongeza gmail kwenye simu yako sasa unaweza kuanza kuitumia.
Imani yangu umeelewa vema ningependa kama utaacha comment na kama kina mahala umekwama kufungua google account nyingine,usiache kutembelea humu ndani mwisho wa somo letu hili ndio mwanzo wa Mada ijaayo๐ค
Wednesday, June 9, 2021
๐ฐ ๐บ ๐ต ๐ฎ ๐ณ ๐ฉ ๐ฆ ๐ฐ ๐ผ ๐ฆ ๐ฒ ๐ผ ๐ฆ ๐ณ ๐ฌ ๐ฆ
๐๐จ๐๐๐๐ ๐๐ฆ๐๐๐๐ ๐๐ฆ๐ก๐๐๐ช๐ ๐๐๐ฅ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐ช๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐จ๐๐๐ช๐ ๐๐๐๐,๐๐๐๐ค๐ ๐๐ ๐๐๐จ๐.๐๐จ๐๐๐ ๐จ๐ ๐๐จ๐๐๐๐ ๐ฆ๐๐๐ก๐ ๐ก๐๐ฅ๐ ๐๐๐ฅ๐๐๐ ̶m̶̶i̶̶d̶̶i̶̶a̶̶m̶̶u̶ ๐๐ ๐๐ ๐๐ฆ๐ก๐๐ฅ๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ค๐ฅ๐๐ฃ๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐จ๐๐๐ ๐จ๐ ๐๐จ๐๐๐๐ ๐ฆ๐๐๐ก๐ ๐ฅ๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐ฆ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ช๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐.
๐ ๐ช๐๐๐ ๐ช๐ ๐ ๐ช๐๐ก๐๐ ๐จ๐ก๐๐ฃ๐ข๐ฃ๐๐ง๐ ๐๐ช๐๐ก๐ฌ๐ ๐๐๐๐ฆ๐
๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐
.๐๐ฅ๐๐จ๐๐๐ช๐๐๐ ๐จ๐๐๐จ๐๐๐๐ ๐ฃ๐๐๐๐ ๐๐ช๐๐ฆ๐ก๐
.๐๐๐ซ๐๐๐๐๐ฃ๐
.๐๐ฆ๐๐๐๐ช๐๐๐ ๐๐จ๐ ๐ฆ๐ก๐๐๐๐ ๐จ๐ ๐๐ง๐ฆ๐ ๐๐๐๐๐ ๐ช๐ ๐๐๐๐
.๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐ฅ๐ฆ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐ก๐ ๐๐๐๐๐ ๐ช๐ ๐๐๐๐ ๐๐ฆ๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐ฆ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ค๐.
๐ ๐ฎ๐๐๐บ๐ถ๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ฑ๐ต๐ฎ๐ป๐ฎ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ฝ๐ถ๐ป๐ฑ๐ฎ ๐ธ๐๐ฎ ๐บ๐๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ ๐ต๐๐๐๐บ๐ถ๐ธ๐ฎ ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐๐๐๐๐.๐น๐๐๐ ๐ ๐พ๐๐๐ ๐๐บ ๐บ๐๐๐บ ๐๐ป๐๐ ๐ ๐บ๐๐ป๐บ๐๐ ๐๐ ๐ป๐ด๐ฝ๐๐ธ ๐ผ๐ฑ๐ธ๐ฝ๐๐บ๐พ ๐๐ ๐ป๐ด๐ฝ๐๐ธ ๐ผ๐ฑ๐พ๐ฝ๐๐ด๐พ
๐๐ผโโค๐ ๐๐ฆ๐ฅ๐ฆ๐๐๐๐ ๐๐ฆ๐๐ฆ๐ซ๐๐ ๐ง๐๐ฅ๐ฆ ๐๐จ๐๐๐ช๐ ๐ฑ๐ฎ๐ฟ๐๐ฏ๐ถ๐ป๐ถ ๐๐ ๐ธ๐ฎ๐บ๐ฒ๐ฟ๐ฎ.
๐๐๐ก๐ญ๐ ๐ ๐๐๐ก๐จ๐๐ข
๐ญ๐ ๐๐พ๐๐พ ๐๐บ๐๐๐๐บ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐พ๐๐ป๐พ๐๐ ๐๐๐พ๐๐๐พ ๐๐ผ๐๐บ ๐ ๐พ๐๐๐ ๐๐บ ๐๐๐บ๐๐๐ฟ๐บ๐๐๐บ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐บ ๐น๐ฒ๐ป๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ธ๐๐๐ถ๐ฎ.๐ฃ๐ ๐๐ฒ๐ต๐ฒ๐บ๐ ๐ถ๐ป๐ฎ๐ฝ๐ผ๐ธ๐๐๐ฎ๐ป๐ฎ ๐ต๐๐ถ๐๐๐ฎ ๐๐๐๐๐๐.
๐ก๐: ๐๐๐๐ซ๐ ๐๐๐๐๐ฆ๐๐ ๐๐๐ก๐ ๐๐๐ฅ๐ฆ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ฆ๐ซ๐จ๐ ๐๐ ๐๐ฆ๐ ๐๐๐๐ฆ๐๐จ๐ ๐บ๐ณ๐ฎ๐ป๐ผ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐.
๐๐๐ก๐ญ๐ ๐ ๐๐ข๐ก๐ฌ๐๐ข
โ๐๐๐๐ ๐ช๐ ๐๐๐๐ซ๐ ๐๐๐ ๐๐ช๐๐ ๐๐ฆ๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ฅ๐๐๐๐ฅ๐ ๐ป๐๐ฒ๐บ๐ฏ๐ฎ๐บ๐ฏ๐ฎ ๐๐ฆ๐๐๐๐ ๐ก๐๐๐๐๐๐.๐๐๐ฅ๐ฆ ๐ง๐๐๐๐ง๐ช๐ ๐๐๐๐๐๐๐จ๐ ๐๐ ๐๐๐๐ซ๐ ๐๐๐ ๐๐ช๐๐ ๐๐ฆ๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ถ๐ฑ๐ผ๐ด๐ผ ๐๐ฆ๐๐๐๐ ๐ง๐๐๐๐ง๐ช๐ .
๐๐๐ ๐๐ซ๐ ๐๐๐๐ช๐ ๐ก๐๐ฅ๐ ๐๐๐ฅ๐๐๐ ๐๐๐๐ซ๐ ๐๐๐ ๐๐ช๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐ช๐ ๐๐ฆ๐ก๐๐๐๐ ๐๐ฆ๐ฅ๐๐จ๐๐๐ช๐๐๐ ๐๐ ๐๐ฆ๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ซ๐๐ ๐ค๐๐๐๐๐ฆ ๐๐ฆ๐๐๐๐,๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ก๐ ๐๐๐๐ ๐ณ๐ผ๐ธ๐ฎ๐๐ถ ๐ช๐ ๐๐๐๐ซ๐ ๐๐๐ช๐
๐ก๐:๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐ป๐ฑ๐ผ๐ด๐ผ.
๐๐๐ฅ๐จ๐๐๐ก๐ ๐๐ฆ๐ฅ๐ฆ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ช๐๐๐ ๐จ๐ ๐น๐ฒ๐ป๐๐ถ ๐บ๐ฏ๐ถ๐ป๐๐ธ๐ผ ๐๐ ๐๐ฒ๐ป๐๐ถ ๐บ๐ฏ๐ผ๐ป๐๐ฒ๐ผ,๐ฝ๐ถ๐ฎ ๐๐ฆ๐๐ซ๐ ๐๐ฆ๐๐๐๐ช๐ ๐ง๐๐ฅ๐ฆ ๐ง๐ช๐ ๐๐๐๐๐ ๐ง๐๐จ๐๐ซ๐ ๐๐ฆ๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐ง๐๐ซ๐ฆ๐ฃ๐.
ษ̶a̶̶a̶̶d̶̶a̶ ̶y̶̶a̶̶ ̶k̶̶u̶̶̶f̶̶a̶̶h̶̶a̶̶m̶̶u̶̶ ̶v̶̶i̶̶z̶̶u̶̶r̶̶i̶ ̶l̶̶e̶̶n̶̶z̶̶i̶ ̶̶m̶̶b̶̶i̶̶n̶̶u̶̶k̶̶̶o̶ ̶n̶̶a̶ ̶m̶̶b̶̶o̶̶n̶̶y̶̶e̶̶o̶̶ ̶n̶̶a̶ ̶u̶̶t̶̶̶o̶̶f̶̶a̶̶u̶̶t̶̶i̶̶b̶̶u̶̶l̶̶i̶̶o̶̶p̶̶o̶̶,̶̶p̶̶e̶̶n̶̶d̶̶a̶ ̶̶k̶̶u̶̶i̶̶n̶̶g̶̶i̶̶a̶̶ ̶k̶̶w̶̶e̶̶n̶̶y̶̶̶e̶ ̶p̶̶a̶̶g̶̶e̶̶ ̶h̶̶i̶̶i̶ ̶m̶̶a̶̶r̶̶a̶ ̶k̶̶w̶̶a̶ ̶m̶̶a̶̶r̶̶a̶ ̶k̶̶u̶̶o̶̶n̶̶a̶ ̶n̶̶a̶ ̶k̶̶u̶̶j̶̶i̶̶f̶̶u̶̶n̶̶z̶̶a̶ ̶n̶̶a̶ ̶k̶̶u̶̶̶j̶̶i̶̶o̶̶n̶̶g̶̶e̶̶z̶̶e̶̶a̶̶ ̶m̶̶a̶̶u̶̶j̶̶a̶̶n̶̶j̶̶a̶ ̶z̶̶a̶̶i̶̶d̶̶i̶̶,̶๐๐๐ธ๐๐๐ฎ๐ป๐ฒ ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐บ๐ฎ๐ฑ๐ฎ ๐ถ๐ป๐ฎ๐๐ผ๐ณ๐ฎ๐๐ฎ.
Thursday, June 3, 2021
MAGONJWA YA KUAMBUKIZA
Ugonjwa unaweza kuambukizwa kwa njia nyingi,baadhi ya njia hizo ni hewa,kugusana na mgonjwa,kula na mgonjwa na ulaji wa nyakula.
MAGONJWA YA KUAMBUKIZA๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ
Yapo magonjwa ya kuambukiza Kama haya Surua,Tete kuwanga,Polio,Kifadulo,Pepopunda,Kifua kikuu,Ukimwi,Ebora na COVID 19๐๐พ๐๐ฝ
A.SURUA ni ugonjwa ambao unaoshambulia zaidi watoto wenye umri chini ya miaka mitano,Watoto wenye unyafuzi na nyongea ushambuliwa kwa urahisi zaidi na huenezwa kwa njia ya HEWA.
DALILI YA SURUA๐๐ฝ๐๐ฝ
.Macho kua mekundu,
.Hua na homa kali zaidi ya siku tatu,
.Kuota vipele zaidi kinywani na baadae kuenea mwili mzima,
.Kuharisha na kutapika.
KUZUIA SURUA๐ค๐๐ฝ
.Watoto wapate chanjo ya surua
.Watu wanaougua surua watengwe na wazima
.Wasio kua na Surua wasishirikiane vyombo na nguo na mgonjwa ambaye ana surua.
B.KIFADURO huwapata zaidi wototo wenye umri wa miaka miwili,na huenezwa kwa njia ya KIKOHOZI
DALILI YA KIFADURO๐๐๐ฝ๐๐ฝ
.Kikohozi kikavu
.Kushindwa kuvuta punzi vizuri
.Kupata maumivu kooni
.Uso wake kuvimba na
.Huwa na mwili dhaifu.
KUZUIA KIFADURO๐๐๐๐ฝ
.Watoto๐จ๐จ๐ง๐ฆwapate chanjo
.Makohozi na makamasi yatupwe chooni
.Watoto๐ฏwenye ugonjwa wasichanganywe na wazima.
C.DONDA KOO ni ugonjwa unaoambikizwa kwa bacteria waitwao BASILA na kuenezwa kea njia ya HEWA
DALILI YA DONDA KOO๐๐๐๐ฝ๐๐ฝ
.Kua na vidonda kooni
.Kuwa na homa kali
.Kua na mafua na kichwa kuuma
.Kushindwa kumeza chakula na kupumua vizuri.
KUZUIA DONDA KOO๐ค๐ค
.Mgonjwa apelekwe kliniki kupata chanjo na mgonjwa apewe matibabu.
D.TETEKUWANGA ni ugonjwa unaoenezwa kwa VIRUS na huenea kwa kugusana na mgonjwa mwenye tetekuwanga.
DALILI YA TETEKUWANGA๐๐๐๐ฝ
.Mwili kutetemeka
.Kupata maumivu ya mgongo na
.Kuwait na vipele mwilini
KUZUIA TETEKUWANGA๐ค๐ณ๐ณ๐๐ฝ
.Mgonjwa atengwe na wenye AF ya
.Anaye hudumia awe amepata chanjo
.Nguo za mgonjwa zisivaliwe na wenye AF ya na
.Mgonjwa apelekwe Hospitalini au kliniki.
E.POLIO ni ugonjwa unaolemaza viungo,huenezwa kea njia ya MAJI na VYAKULA
DALILI YA POLIO๐๐๐๐ฒ
.Huumwa kichwa na mwili wore
.Kupata homa kali kuharisha na kutaika
.Shingo na miguu ya mgonjwa kukaza
KUZUIA POLIO๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ
.๐ฌ๐ฌwatoto wapewe chanjo
.Maji ya kunywa yawe safi na salama
.Vyoo viwe safi na
.Wagonjwa wapelekwe hospitalini.
๐๐๐kuna magonjwa mengi ya kuambukiza Kama CORONA na mengineyo,usiache kutembelea ukarasa huu kufahamu mambo Mambo mbali.jiandae kwa maada inayo kujia ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐พ
Sunday, May 30, 2021
CHANGAMOTO ZA UFUGAJI
Apo awali nilielezea ufugaji wa kaa na niliishia kwenye utengenezaji wa chakula cha kaa,napenda twendwe sambamba kutokea tulipoishia,kama wewe aujazisoma basi usijali zote zipo unaweza kuzitafuta kwa kupitia ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝhttps://profileofficial21.blogspot.com
Tunahitaji kutambua hakuna jambo lisilo na changamoto,na changamoto KUJITOKEZA ili uweze kuboresha.Ufagaji wa kaa ambao unategemea mazingira ya fukwe ya bahari inapelekea kujitokeza mambo kadhaa!
Aina ya chakula cha kutengeneza nichokielezea awali๐๐พkinawasaidia kaa kukomaa ndani ya wiki 3-5 wanakua na uzito wa kutosha na wanakua wamejaza nyama yaani wako vema Sana,sasa tuendelee๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ
CHANGAMOTO ZINAZOJITOKEZA KWENYE UFUGAJI WA KAA
1.Upatikanaji wa mbegu *Kaa maji*,ili uzalishaji wa kana wengi uongezeke ni muhimu kuwe na upatikanaji wa kutosha wa kaa maji ili wahifadhiwe kwenye cages kwa muda na wakomae waiingie sokoni.
2.Usafi wa vizimba wa kila siku,changamoto inajitokeza hasa pale unapokua na idadi kubwa ya vizimba vya kuvifanyia usafi,ili usafishe kizimba ni muhimu kaa aliye ndani yake umtoe kwanza ufanye usafi alafu umrejeshee kunahita umakini mkubwa
3.Ukosefu kwa wafanyakazi wenye ujuzi,endapo utakosa watu wenye ujuzi au utaalamu wa ufugaji au wenye uwezo wa kukamata na kumfunga kaa ni tatito kubwa Sana,kwasababu hautoweza kuwavuna wala kuwasafirisha,wafanyakazi wenye utaalamu wanjua namna ya kuwakamata ili wasivunjike na wanaweza kuwafunga vizuri
4.Vifo vya kaa,unapofuga vifo vya kaa vinajitokeza hasa vipindi vya joto,pia mbegu nyingi zinapokua na majeraha wanapelekea vifo kuwa vingi,ushauri unapokusanya mbegu wale kaa wenye majeraha watenganishe cages zao ili iwe lahisi kufagilia maendeleo tao
5.Wizi wa kaa shambani,unapoamua kufuga kaa Basi akikisha unaweka ulinzi kwenye eneo lako,kaa ni mali kilo moja ya kaa mkubwa yapata Tsh 7000-9000/= kwahiyo weka ulinzi endapo mtu atakuibia 12pcs tu ni sawa umepoteza Tsh 100000/=,Weka ulinzi usiku na mchana kaa ni mali Sana.
6.Kukatikakatika kwa miguu,kutokana na mazingira ya usafi kuhamisha hamisha au kung'atana inapelekea kukatika na kua reject endapo kaa amekatika thaman yake ya soko inashuka yapata Tsh 1500-3000/= na ndio maana unahitaji uwe na watu wenye kujua kukamata na kufunga vizuri
7.Keji kufumuka,endapo vizimba vinakua eneo ambalo linafikiwa zaidi na mawimbi inachangia cages kuhalibika na kaa wanatoka wenyewe kuingia baharini,zingatia unapojenga cages weka eneo ambalo mikoko iko mwanzo wa bahari na shamba liwe nyuma kidogo ya mikoko ili hata kama kunatokea mawimbi yatapozwa na miti ya mikoko iliyo mbele.
8.Kaa kukaa muda mrefu shambani,endapo kaa wanakomaa ni muhimu uwatoe shambani,unapofuga tafuta soko likusaidie kuwauza kwa wakati pindi wanapo tu wanapokamaa ili kuepuka vifo na reject visivyo vya lazima.
NB: Unapofuga nashauri kufuga kaa kuanzia medium 500gm na Large 700gm wa ndio wenye soko kubwa zaidi.
Mada itaendelea.....................!
Saturday, May 29, 2021
MISULI YA BINADAMU
Baada ya kuangalia mifupa Katika mada ilihopita ๐๐พ na tumejua mfumo wa mifupa ya binadamu.leo tunaendelea ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ
MISULI KATIKA MWILI WA BINADAMU
Misuli ni sehemu ya nyama kwenye mwili.Binadamu ana misuli 600.
Misuli inatabia ya kusinyaa,kurefuka na kulegea.Misuli iliyounganishwa Ncha za mifupa ikisinyaa huifanya mifupa iweze kujongea
Msuli mmoja ukisinyaa huvuta mfupa,na msuli wa pili ukisinyaa unarudisha mfupa mahali ulipokua awali
Msuli mmoja usinyaa ule wa pili kulegea,misuli mingine haikuunganishwa na mifupa mfano๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ
A.misuli inayobeba mishipa ya damu kuiwezesha damu kuzunguka mwilini
B.mapafu na moyo hufanya kazi kwasababu ya mjongeo wa misuli Mara kwa mara.
Misuli ya binadamu iko katika sehemu mbili ambayo misuli ya hiari na isiyo ya hiari na iko Kama hivi ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ
1.MISULI YA HIARI ni ile ambayo hujongea mara mtu anapoamua kusimama,kukaa na kujongea kuelekea mahala popote.Hi ni misuli ile iliyoshikilia kwenye mifupa.
2.MISURI ISIYO YA HIARI ni ile ambayo husafirisha chakula tumboni Latina njia ya chakula,na ile ya moyo inayosjkuma damu kwenda sehemu nyingine za mwili.
Misuli yote ipo Nje ya mifupa na Ndani ya ngozi,Misuli inasinyaa na kulegea kulingana na kazi inayofanyika.hadi hapo☝๐พ☝๐พ☝๐พ tuko P1,usiache Ku comment kama Una Swali au maoni asante tukutane kwa mada inayo kuja๐๐พ๐๐ฝ๐๐ฝ๐ค
Wednesday, May 26, 2021
MIFUPA YA BINADAMU
MFUMO WA MIFUPA YA BINADAMU
Leo tuangalie mifupa.
MFUPA ni sehemu ngumu katika mwili wa binadamu ikifuatiwa na misuli.Mifupa na misuli humfanya binadamu atofautiane na wanyama wengine.
KAZI YA MISULI
1.Kuweka mwili katika umbo lake,
2.Kulinda viungo vya mwili ambavyo ni mapafu,ubongo,moyo,macho,masikio na ulimi.
3.Kutengeneza chembe chembe NYEKUNDU za damu
4.Kushikilia misuli
5.Kutengeneza na kuhifadhi UROTO
MUUNDO WA MFUPA
Mfupa wa binadamu umeundwa na sehehemu kuu mbili ambazo ni SEHEMU YA NJE ni ngumu na SEHEMU YA NDANI iko kama dodoki na imejaa UROTO.
Katika mifupa ya mikono na miguu kuna uroto wa njano,
Kwenye ncha ya mikono na miguu kina uroto Mwaekundu,Uroto mwekundu hutengeneza seli nyekundu za damu,
Gegedu ni sehemu inayozungukwa na kimiminika kinachaisaidia mifupa kujongea,gegedu ni sehemu laini inayovutika kama mpira,
Mifupa imekaa kwa kushikiliwa pamoja mwa nyuzi nyeupe zilizo imara na zinaitwa mikano.
IDADI YA MIFUPA YA BINADAMU
Mifupa ya binadamu imepangwa mwili mzima.
Binadamu ana jumla ya mifupa 200
MGAWANYIKO WA MIFUPA YA BINADAMU
Binadamu anamafungu manne ya mifupa ambayo ni Mifupa ya fuvu la kichwa,Mifupa ya kiwiliwili,Mifupa ya maungo ya juu na Mifupa ya maungo ya chini.
.Mifupa ya fuvu la kichwa cha binadamu kuna mifupa 22
.Kiwiliwili cha binadamu kina mifupa 58
Kifua kikiwa na mifupa 25,Kidari mfupa 1 na mbavu zisizo harisi sipo 2,
.Mifupa ya uti wa mgongo
Uti wa mgongo wa binadamu una pingili 12,
Uti wa mgongo wa shingo Una pingili 7,
Uti wa mgongo wa njonga Una pingili 5,
Uti wa mgongo wa kiuno Una pingili 5,
Uti wa mgongo wa mkia wa mwanzo Una pingili 4.
.Mifupa ya Maungo ya chini iko 67,
Mifupa iliyo katika nyonga iko 7,
Mifupa iliyo katika kila mguu iko 30,
Fupa LA nyonga kina umbo LA kibakuli ambalo mifupa 2 yenye mifupa 3 kila mmoja.
Mifupa ya miguuni: Fupa la lama,Maundi,Safu na Vifupa vya kiwiko,kiganja na kidole.
.Mifupa ya maungo ya juu iko mifupa 64 na,
Mifupa ya mkono wa kiganja iko 2×32=64.
Hadi hapo☝๐พtumeshajifunza kuhusu mifupa ya binadamu,endelelea kufatilia mada zinazokujia mara kwa mara asnte! Tukutane kwenye maada ijayo hivi punde .........๐๐พ
Tuesday, May 25, 2021
MAANDALIZI YA UTENGENEZAJI WA CHAKULA CHA KAA
VIFAA MUHIMU VYA UTENGENEZAJI WA CHAKULA CHA KAA:
.Karoti robo
.Kitunguu maji robot
.Uduvi 1kg & dagaa la kawaida 1kg
.Viazi mviringo robot
.Unga wa ngano nusu
.Unga was sembe 1kg
.Unga wa mchele 1kg
.Maji /mafuta kula
.Sufuria 2 kubwa na ndogo
.Kinu & chujio.
HATUA ZA UTENGENEZAJI๐๐ฝ
Baada ya kuona ๐๐พvifaa muhimu vya utengenezaji wa chakula cha kaa,sasa tuangalie jinsi ya kukitengeneza๐๐ฝ
1.Chemsha viazi adi viive
2.Saga karoti na vitunguu
3.Lisagwe/litwange dagaa na uduvi
4.Changanya unga wa mchele,sembe & ngano
5.Changanya karoti,vitunguu vilivyisagwa,dagaa & uduvi vizuri hadi vichanganyike
6.Changanya viazi vilivosagwa na mchanganyiko wa sembe ,ngano na mchele,yaani michanganyiko yote unaweka kwenye chombo kimoja
7.Sasa unaweka unga wa ngano,mchele,karoti,vitunguu,viazi,DA ga a na uduvi hadi vichanganyike kwa kutumia mikono kama unakanda ngano
8.Hatua hii weka maji kiasi mithili ya ngano ya chapati na Tia mafuta kidogo Sana
9.Baada ya hapo tengeneza piece ndogondogo za mchanganyiko huo๐๐พ(Vitonge vidogo vidogo)
10.Unamalizia kwa kupasha moto hizo pieces kwa hatua hizi:
A.Bandika maji jikoni yakiwa katika sufuria kubwa,
B.Weka pieces (vitonge) ya vyakula kwenye sufuria ndogo ambayo haina maji,
C.Weka sufuria ndogo yenye chakula piece ndani ya sufuria kubwa yenye maji na ifunikwe na chujio,
D.Weka kwa muda usio pungua dakika 5 baada ya Mani kupata moto,
E.Baada ya kupata moto/joto chakula kitolewe na kianikwe juani hadi kikauke,
F.Kiko tayari kuanza kutumika kulishia kaa.
NB:☝๐พChakula kitawekwa jikoni Kama tu,kimewekwa mafuta lakini kama hakijawekwa mafuta basi utatengeneza vitonge na kuvianika Moja kwa moja Juani.
Hadi hapo tumemakiza utengenezaji wa chakula cha kaa๐ค tukutane page ijayo๐๐ฝ
Saturday, May 22, 2021
MAISHA YA SIMBA
Leo tuangalie maisha ya MFALME WA NYIKA
Simba ni wanyama wanaishi kifamilia zaidi na kusaidiana katika maisha yao ya mbugani,Simba dume anaumbo kubwa zaidi ya majike,simba wanapenda kuishi eneo lenye wanyama wengi kama punda milia,nyumbu nk.
Simba jike anapo zaa watoto anawaficha kwenye vichaka na mapango makubwa kwa muda wa wiki 6 na kuwatoa kuungana na familia ya simba,familia ya simba inamajukumu mawili UWINDAJI & ULINZI.
Uwindaji wa simba unategemea umoja wao na wanapenda kuwinda wanyama wakubwa ili wale na familia yao,ambao wakisha kamata wanakula familia nzima ya simba.
Simba dume anajukumu la ulizi wa familia na kuzalisha,majike yanawaheshimu sana midume na kuwaamini katika pulukushani kwenye ulinzi wao wa familia,na ni mnyama mwenye sauti nzito sana yenye kusikika.
Simba jike ndiye muwindaji mkuu wa familia,anauwezo mkubwa wa kuwinda wanyama wanapenda kukamata wanyama wakubwa mara nyingi wanaweza kua zaidi ya mmoja.Wanakamata shingo wananyonya damu hadi huyo mnyama afe,baada ya kufa familia ya simba huongezeka na kumla huyo mnyama.Midume hutumia nguvu hata kuwafukuza simba wengine ili ale yeye kwanza,simba dume kwenye kula anaubinafsi sana,kutokana na tabia ya simba dume inawafanya Majike kufikia wakati wakikamata mnyama wanamficha na kuchukua familia kama watoto na Simba wengine wanakula haraka kabla midume haijafika maana wataweza kutimuliwa.
Inapofika kipindi cha ukame Wanyama wengi wanahama kutafuta chakula na maji,inapelekea Simba kua kuwa katika kipindi kigumu cha njaa,kinawafanya Simba wale chochote hadi mayai wanapokutananayo,hiki ni kipindi simba anakula hadi mizoga ilioachwa na wanyama wengine Kama chui na dume,duma wanauwezo mkubwa wa mawindo pasipo kutegemea kampani ya mwenzake,anapokamata anakula anapokutwa na simba anafukuzwa hua cha kula cha simba,maisha ya simba yanakua ya njaa sana inafikia kukamata wanyama wadogo wadogo ambao hata hawakidhi matumbo yao na inawafanya midume kupora chakula anakula peke yake hali hiyo inaendelea kwa simba yapata miezi 6.
Utafiti wa wanyama Simba unaeleza simba anayewinda peke yake anakua na maisha magumu zaidi kwa kukosa chakula,lakini Simba wanaowinda wengi kwa pamoja wanapata unafuu wakupata chakula na anayekamata anakula na simba wengine.
Msimu wa mvua wanyama wengi wanarudi maji na chakula vinapatikana,maisha ya wanyama yanaanza kustawi tena haswa simba maana vyakula vyake vimerudi,lakini kutokana na purukushani Simba wanavunjika mikia na wengine wanakatika kabisa,kwa wale simba walio vunjika miguu wanatengwa na simba midume na wanaishia kula mizoga na wengine kufa kwakuso chakula maana awana uwezo tena was kuwinda.
Friday, May 21, 2021
AINA YA CHAKULA CHA KAA
Unapo fuga kaa na kuwaweka katika vizimba hakikisha unawapatia chakula,kaa wanakula kiasi kidogo cha gm ya chakula.Wanao fugwa huwa ni kaa maji ambao hawajakomaa na unapowaeka kwenye vizimba ili waweze kukomaa na uwavune uuze au uachemshe,kaa Ana we za kukomaa haraka ama kuchelewa kutokana na aina ya chakula unachopewa,na ili kaa wakomae halaka wanahtaji chakula chenye madini joto/chunvi kwa wingi ambacho kitamkomaza ndani ya wiki 3 hadi 4,lakini ukitumia vyenye protein zaidi anaweza kukaa kwenye kizimba kwa muda mrefu zaidi wiki 6 hadi 8.Chakula kinachofaa zaidi ili wakomae haraka dagaadagaa,au chakula maalumu kilichetengeneza ,na vyenye kumfanya awe na uzito zaidi.tรบtaendea kwenye Page nyingine utengenezaji wa chakula cha kaa inakuja๐ณ๐๐พ
Thursday, May 20, 2021
KUFUGA KWA KUTUMIA VIZIMBA (CAGES)
Tuendelee na somo letu,baada ya kuzingatia mambo muhimu ya kuzingatia napenda kuelezea kuhusu ufugaji wa kutumia VIZIMBA,zipo nyingi lakini ufugaji huu nj njia ambayo inasaidia kaa kufikiwa na maji direct kila siku,pia anapata hata muda wa kubadilisha hewa,kwasababu vizimba hujengwa pembezoni mwa fukwe ambapo maji yanauwezo wa kufika na kutoka ,Maji yanapofika vizimba huwa kwenye maji na yanalotoka vizimba vinakua havina maji.Vizimba ni vijumba vidogo vinavyotengenezwa na vijiti au mbao vyenye upana na urefu angalau Mita 1 za mraba,au Una we za kutumia ndoo zunye matobo unajengea vizuri kwa kutumia kamba imara,kutokana na Vizimba kufunikwa na maji mara kwa mara vinahitaji kamba maalumi zenye kuvumilia maji nashauri kuna kamba maalumu wavuvi hupenda kuzitumia siko kama Sufi ni imara sana na zinadumu kwenye maji yaani zikiloa ndio imara zaidi.baada ya kuandaa vizimba vyako viwe na mfuniko uwe na uwezo wa kufunika na kufunua,sasa unaanza kuweka kaa wako,kila kizimba weka kaa mmoja tu ili wasiweze kuumana hatimaye kukatana mikono (magandu),na utaanza kuwaekea chakula kaa mmoja Ana weza kula wastani wa gram kumi kwa siku,utawapa kulingana na idadi ya PC za kaa ulizoweka shambani.tukutane mada ijayo๐๐พ
Wednesday, May 19, 2021
VITU VYA KUZINGATIA KWA UFUGAJI KAA
ENEO LA KUANZA KUFUGIA KAA,eneo ni sehemu mehimu kabla ya kuanza kufuga kaa,kaa wanapenda zaidi kuishi kwenye maeneo yenye asili ya udongo wa kichanga na mfinyanzi,eneo linaweza likawa pembezoni mwa fukwe ya bahari na inapendeza zaidi eneo liwe limezungukwa na mikoko ili isaidie kupunguza shuluba itokanayo na mawimbi ya bahari.UPATIKANAJI WA MBEGU baada ya kupata eneo angalia je eneo hilo upatikanaji wake wa mbegu ni rahisi ama laah! Mbegu ndio zitakazoweza kuongeza uzalishaji,upatikanaji wa mbegu wa kaa Maji ata wagumu,kana maji ni kana ambao bado hawajakomaa na hawawezi kuingizwa sokoni lakini Kaa wagumu ambao wamekomaa wako tayari kuuzwa ama kupikwa.USALAMA WA ENEO HUSIKA ni muhimu Sana kwa usalama wa Mali zako isiwe wewe unaongeza hao wanapunguza,unajaza wanamwaga itachelewesha mafanikio.VITENDEA KAZI kunahajika vifaa malum mfano kamba,kisu,chombo cha kulishia.PIA ENEO NI MUHIMU LIWE NA UPANKANAJI WA HUDUMA ZA JAAMII eneo lolote linahtaji usalama wa kiafya na hata upatikanaji was maji kea matumizi mengine.Tuendelee ukurasa ujao๐ค๐
UFUGAJI WA KAA
Ufugaji wa kaa ni moja ya aina ya ufugaji Jamii ya samaki,kaa pia hufugwa kwa njia nyingi mfano njia ya kizimba,bwawa/kalo nk.Katika ugugaji wa kaa kuna mambo ya kuyazingatia pindi unataka kufuga ambayo ni: ENEO LA KUFUGIA,UPATIKANAJI WA MBEGU,USALAMA WA ENEO,VITENDEA KAZI VYA KUTOSHA,UPATIKANAJI WA HUDUMA ZA KIJAMII NA UHAKIKA WA SOKO.Kaa ni kitoweo kizuri kilichojaa ladha ya asili,nyama yake ni nyeupe ambayo inaweza kupikwa kama supu style au kutiwa viungo kua mboga,na pindi imetiwa viungo kwa asiyejua anaweza sema mithili ya mayai yaliotiwa viungo.Nyama ya kaa inapatikana baada ya kuchemshwa na kupasuliwa hutolewa nyama iliyo ndani ya mwili wake,ni vigumu kukadilia uwingi au uzito wa nyama ya kaa kea muonekano wake ingawa Kaa mkubwa anauwezekano wa kua na nyama nyingi zaidi ya mdogo.Ili uweze kupata nyama ya Kaa umchemshe kabla aujotoa ma gamba yake kwa maana chemsha mzimamzima adi aive na akiiva magamba yanabadilika rangi ya Karoti/njano na utahisi harufu inayonukia zaidi na utawatoa jikoni na kuwaacha kDa muda kidogo wapoe kabla ya kuanza kuwapasua kutoa nyama,katika kuchemsha zingatia usitie chumvi wenyewe wanajitegemea wanachumvi ya asili.Hadi sasa umeshaa kumfaham kaa tukutane kea page inayofata๐ค๐๐ฝKufafanua mambo ya kuzingatia kea ufugaji wa kaa Kama nilivyoolodhesha☝๐พawali.
Tuesday, May 18, 2021
KAA (Crabs) na SIFA ZAKE
Kitanda free delivery
@kitandafreedelivery Piga/SMS/WhatsApp: 0785322941 YANAFANYIKA MALIPO BAADA YA KUFIKISHIWA MZIGO KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM PEKEE, ©Usafi...
-
Kaa ni moja ya jamii ya samaki waishio baharini,kaa ana umbo ambalo liko tofauti na samaki wengine.Kutokana na umbo lake linamfanya pia awe ...
-
Tuendelee na somo letu,baada ya kuzingatia mambo muhimu ya kuzingatia napenda kuelezea kuhusu ufugaji wa kutumia VIZIMBA,zipo nyingi lakini...
-
JINSU YA KUFUNGUA NA KUA NA AKAUNTI ZA GOOGLE ZAIDI YA MOJA KWENYE SIMU Leo nataka ufaham jinsi ya kuongeza google account kwenye sim...