Baada ya kuangalia mifupa Katika mada ilihopita ππΎ na tumejua mfumo wa mifupa ya binadamu.leo tunaendelea ππ½ππ½ππ½ππ½
MISULI KATIKA MWILI WA BINADAMU
Misuli ni sehemu ya nyama kwenye mwili.Binadamu ana misuli 600.
Misuli inatabia ya kusinyaa,kurefuka na kulegea.Misuli iliyounganishwa Ncha za mifupa ikisinyaa huifanya mifupa iweze kujongea
Msuli mmoja ukisinyaa huvuta mfupa,na msuli wa pili ukisinyaa unarudisha mfupa mahali ulipokua awali
Msuli mmoja usinyaa ule wa pili kulegea,misuli mingine haikuunganishwa na mifupa mfanoππ½ππ½ππ½ππ½
A.misuli inayobeba mishipa ya damu kuiwezesha damu kuzunguka mwilini
B.mapafu na moyo hufanya kazi kwasababu ya mjongeo wa misuli Mara kwa mara.
Misuli ya binadamu iko katika sehemu mbili ambayo misuli ya hiari na isiyo ya hiari na iko Kama hivi ππ½ππ½ππ½
1.MISULI YA HIARI ni ile ambayo hujongea mara mtu anapoamua kusimama,kukaa na kujongea kuelekea mahala popote.Hi ni misuli ile iliyoshikilia kwenye mifupa.
2.MISURI ISIYO YA HIARI ni ile ambayo husafirisha chakula tumboni Latina njia ya chakula,na ile ya moyo inayosjkuma damu kwenda sehemu nyingine za mwili.
Misuli yote ipo Nje ya mifupa na Ndani ya ngozi,Misuli inasinyaa na kulegea kulingana na kazi inayofanyika.hadi hapo☝πΎ☝πΎ☝πΎ tuko P1,usiache Ku comment kama Una Swali au maoni asante tukutane kwa mada inayo kujaππΎππ½ππ½π€
No comments:
Post a Comment