Ujuzi na mafundisho ya elimu kuhusu: Ufugaji wakaa "crabs",mafundisho ya komputer,network za simu&computer,pamoja na masomo primary na secondary
Adsterra netwok
https://www.effectiveperfomancenetwork./iimttpr57?key=9e991b2ffa81bb3fcdaa457a2bdb33ba
Tuesday, May 18, 2021
KAA (Crabs) na SIFA ZAKE
Kaa ni moja ya jamii ya samaki waishio baharini,kaa ana umbo ambalo liko tofauti na samaki wengine.Kutokana na umbo lake linamfanya pia awe na lifestyle yake,kaa anauwezo mkubwa wa kuogelea kwenye maji pia anaweza kuishi nje ya maji kwa siku kadhaa! lakini kaa anahitaji maji chunvi zaidi.Kumbuka kuna utofauti kati ya KAA wa bahari na KAA wa mto(NGADU),ngadu ni jamii ya kaa lakini hawa wanaishi bajibaridi(hayana chunvi) na pia wa umbo dogo,KAA sasa ni wakubwa wanaishi baharini wana miguu yenye ncha kama itakanyaga inaweza ikakutoboa au kukuchuna.Kaa hana mkia,ila ana miguu,mdomo,macho mithili ya antena ngamba gumu na anamikono miwili mbele ambayo anaitumia kama silaha na kukamatia chakula,mikono yake ni hatari sana inanguvu ni migumu kaatakukamata kwenye ukucha inaweza ikakatika ama ukapata maumivu makali sana.KAA wako dume na jike na wanata,wanataga kwa kuyaachia baharini kwa mfumo wa jely na hufanyiwa urutubishwaji nje hadi watoto kutoka kwenye mayai hayo,unaweza kumjua kaa dume au jike kwa muonekano wa umbo lao,mfano:Kaa jike ana mikono midogo na miyembamba pia anaumbo dogo,lakini Kaa dume anaumbo kubwa,anamikono mikubwa tena minene.Kaa mmoja anaweza kufikia hadi kilo moja na nusu kaa wa uzito huo ambebe mwenye uzoifu maana mikono yake ni hatari sana.Tutaendelea kwa peji inayofuata na MADA ya ufugaji KAA👇🏽
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kitanda free delivery
@kitandafreedelivery Piga/SMS/WhatsApp: 0785322941 YANAFANYIKA MALIPO BAADA YA KUFIKISHIWA MZIGO KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM PEKEE, ©Usafi...
-
Kaa ni moja ya jamii ya samaki waishio baharini,kaa ana umbo ambalo liko tofauti na samaki wengine.Kutokana na umbo lake linamfanya pia awe ...
-
Tuendelee na somo letu,baada ya kuzingatia mambo muhimu ya kuzingatia napenda kuelezea kuhusu ufugaji wa kutumia VIZIMBA,zipo nyingi lakini...
-
JINSU YA KUFUNGUA NA KUA NA AKAUNTI ZA GOOGLE ZAIDI YA MOJA KWENYE SIMU Leo nataka ufaham jinsi ya kuongeza google account kwenye sim...
This comment has been removed by the author.
ReplyDelete