Ufugaji wa kaa ni moja ya aina ya ufugaji Jamii ya samaki,kaa pia hufugwa kwa njia nyingi mfano njia ya kizimba,bwawa/kalo nk.Katika ugugaji wa kaa kuna mambo ya kuyazingatia pindi unataka kufuga ambayo ni: ENEO LA KUFUGIA,UPATIKANAJI WA MBEGU,USALAMA WA ENEO,VITENDEA KAZI VYA KUTOSHA,UPATIKANAJI WA HUDUMA ZA KIJAMII NA UHAKIKA WA SOKO.Kaa ni kitoweo kizuri kilichojaa ladha ya asili,nyama yake ni nyeupe ambayo inaweza kupikwa kama supu style au kutiwa viungo kua mboga,na pindi imetiwa viungo kwa asiyejua anaweza sema mithili ya mayai yaliotiwa viungo.Nyama ya kaa inapatikana baada ya kuchemshwa na kupasuliwa hutolewa nyama iliyo ndani ya mwili wake,ni vigumu kukadilia uwingi au uzito wa nyama ya kaa kea muonekano wake ingawa Kaa mkubwa anauwezekano wa kua na nyama nyingi zaidi ya mdogo.Ili uweze kupata nyama ya Kaa umchemshe kabla aujotoa ma gamba yake kwa maana chemsha mzimamzima adi aive na akiiva magamba yanabadilika rangi ya Karoti/njano na utahisi harufu inayonukia zaidi na utawatoa jikoni na kuwaacha kDa muda kidogo wapoe kabla ya kuanza kuwapasua kutoa nyama,katika kuchemsha zingatia usitie chumvi wenyewe wanajitegemea wanachumvi ya asili.Hadi sasa umeshaa kumfaham kaa tukutane kea page inayofata🤔👇🏽Kufafanua mambo ya kuzingatia kea ufugaji wa kaa Kama nilivyoolodhesha☝🏾awali.
Ujuzi na mafundisho ya elimu kuhusu: Ufugaji wakaa "crabs",mafundisho ya komputer,network za simu&computer,pamoja na masomo primary na secondary
Adsterra netwok
https://www.effectiveperfomancenetwork./iimttpr57?key=9e991b2ffa81bb3fcdaa457a2bdb33ba
Wednesday, May 19, 2021
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kitanda free delivery
@kitandafreedelivery Piga/SMS/WhatsApp: 0785322941 YANAFANYIKA MALIPO BAADA YA KUFIKISHIWA MZIGO KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM PEKEE, ©Usafi...
-
Kaa ni moja ya jamii ya samaki waishio baharini,kaa ana umbo ambalo liko tofauti na samaki wengine.Kutokana na umbo lake linamfanya pia awe ...
-
Tuendelee na somo letu,baada ya kuzingatia mambo muhimu ya kuzingatia napenda kuelezea kuhusu ufugaji wa kutumia VIZIMBA,zipo nyingi lakini...
-
JINSU YA KUFUNGUA NA KUA NA AKAUNTI ZA GOOGLE ZAIDI YA MOJA KWENYE SIMU Leo nataka ufaham jinsi ya kuongeza google account kwenye sim...
No comments:
Post a Comment