ENEO LA KUANZA KUFUGIA KAA,eneo ni sehemu mehimu kabla ya kuanza kufuga kaa,kaa wanapenda zaidi kuishi kwenye maeneo yenye asili ya udongo wa kichanga na mfinyanzi,eneo linaweza likawa pembezoni mwa fukwe ya bahari na inapendeza zaidi eneo liwe limezungukwa na mikoko ili isaidie kupunguza shuluba itokanayo na mawimbi ya bahari.UPATIKANAJI WA MBEGU baada ya kupata eneo angalia je eneo hilo upatikanaji wake wa mbegu ni rahisi ama laah! Mbegu ndio zitakazoweza kuongeza uzalishaji,upatikanaji wa mbegu wa kaa Maji ata wagumu,kana maji ni kana ambao bado hawajakomaa na hawawezi kuingizwa sokoni lakini Kaa wagumu ambao wamekomaa wako tayari kuuzwa ama kupikwa.USALAMA WA ENEO HUSIKA ni muhimu Sana kwa usalama wa Mali zako isiwe wewe unaongeza hao wanapunguza,unajaza wanamwaga itachelewesha mafanikio.VITENDEA KAZI kunahajika vifaa malum mfano kamba,kisu,chombo cha kulishia.PIA ENEO NI MUHIMU LIWE NA UPANKANAJI WA HUDUMA ZA JAAMII eneo lolote linahtaji usalama wa kiafya na hata upatikanaji was maji kea matumizi mengine.Tuendelee ukurasa ujao🤔🙄
Ujuzi na mafundisho ya elimu kuhusu: Ufugaji wakaa "crabs",mafundisho ya komputer,network za simu&computer,pamoja na masomo primary na secondary
Adsterra netwok
https://www.effectiveperfomancenetwork./iimttpr57?key=9e991b2ffa81bb3fcdaa457a2bdb33ba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kitanda free delivery
@kitandafreedelivery Piga/SMS/WhatsApp: 0785322941 YANAFANYIKA MALIPO BAADA YA KUFIKISHIWA MZIGO KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM PEKEE, ©Usafi...
-
Kaa ni moja ya jamii ya samaki waishio baharini,kaa ana umbo ambalo liko tofauti na samaki wengine.Kutokana na umbo lake linamfanya pia awe ...
-
Tuendelee na somo letu,baada ya kuzingatia mambo muhimu ya kuzingatia napenda kuelezea kuhusu ufugaji wa kutumia VIZIMBA,zipo nyingi lakini...
-
JINSU YA KUFUNGUA NA KUA NA AKAUNTI ZA GOOGLE ZAIDI YA MOJA KWENYE SIMU Leo nataka ufaham jinsi ya kuongeza google account kwenye sim...
No comments:
Post a Comment