Tuendelee na somo letu,baada ya kuzingatia mambo muhimu ya kuzingatia napenda kuelezea kuhusu ufugaji wa kutumia VIZIMBA,zipo nyingi lakini ufugaji huu nj njia ambayo inasaidia kaa kufikiwa na maji direct kila siku,pia anapata hata muda wa kubadilisha hewa,kwasababu vizimba hujengwa pembezoni mwa fukwe ambapo maji yanauwezo wa kufika na kutoka ,Maji yanapofika vizimba huwa kwenye maji na yanalotoka vizimba vinakua havina maji.Vizimba ni vijumba vidogo vinavyotengenezwa na vijiti au mbao vyenye upana na urefu angalau Mita 1 za mraba,au Una we za kutumia ndoo zunye matobo unajengea vizuri kwa kutumia kamba imara,kutokana na Vizimba kufunikwa na maji mara kwa mara vinahitaji kamba maalumi zenye kuvumilia maji nashauri kuna kamba maalumu wavuvi hupenda kuzitumia siko kama Sufi ni imara sana na zinadumu kwenye maji yaani zikiloa ndio imara zaidi.baada ya kuandaa vizimba vyako viwe na mfuniko uwe na uwezo wa kufunika na kufunua,sasa unaanza kuweka kaa wako,kila kizimba weka kaa mmoja tu ili wasiweze kuumana hatimaye kukatana mikono (magandu),na utaanza kuwaekea chakula kaa mmoja Ana weza kula wastani wa gram kumi kwa siku,utawapa kulingana na idadi ya PC za kaa ulizoweka shambani.tukutane mada ijayo👉🏾
Ujuzi na mafundisho ya elimu kuhusu: Ufugaji wakaa "crabs",mafundisho ya komputer,network za simu&computer,pamoja na masomo primary na secondary
Adsterra netwok
https://www.effectiveperfomancenetwork./iimttpr57?key=9e991b2ffa81bb3fcdaa457a2bdb33ba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kitanda free delivery
@kitandafreedelivery Piga/SMS/WhatsApp: 0785322941 YANAFANYIKA MALIPO BAADA YA KUFIKISHIWA MZIGO KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM PEKEE, ©Usafi...
-
Kaa ni moja ya jamii ya samaki waishio baharini,kaa ana umbo ambalo liko tofauti na samaki wengine.Kutokana na umbo lake linamfanya pia awe ...
-
Tuendelee na somo letu,baada ya kuzingatia mambo muhimu ya kuzingatia napenda kuelezea kuhusu ufugaji wa kutumia VIZIMBA,zipo nyingi lakini...
-
JINSU YA KUFUNGUA NA KUA NA AKAUNTI ZA GOOGLE ZAIDI YA MOJA KWENYE SIMU Leo nataka ufaham jinsi ya kuongeza google account kwenye sim...
Inaoendeza sana
ReplyDelete