Adsterra netwok

https://www.effectiveperfomancenetwork./iimttpr57?key=9e991b2ffa81bb3fcdaa457a2bdb33ba

Friday, May 21, 2021

AINA YA CHAKULA CHA KAA

 Unapo fuga kaa na kuwaweka katika vizimba hakikisha unawapatia chakula,kaa wanakula kiasi kidogo cha gm ya chakula.Wanao fugwa huwa ni kaa maji ambao hawajakomaa na unapowaeka kwenye vizimba ili waweze kukomaa na uwavune uuze au uachemshe,kaa Ana we za kukomaa haraka ama kuchelewa kutokana na aina ya chakula unachopewa,na ili kaa wakomae halaka wanahtaji chakula chenye madini joto/chunvi kwa wingi ambacho kitamkomaza ndani ya wiki 3 hadi 4,lakini ukitumia vyenye protein zaidi anaweza kukaa kwenye kizimba kwa muda mrefu zaidi wiki 6 hadi 8.Chakula kinachofaa zaidi ili wakomae haraka dagaadagaa,au chakula maalumu kilichetengeneza ,na vyenye kumfanya awe na uzito zaidi.tútaendea kwenye Page nyingine utengenezaji wa chakula cha kaa inakuja😳👉🏾

No comments:

Post a Comment

Kitanda free delivery

 @kitandafreedelivery  Piga/SMS/WhatsApp: 0785322941 YANAFANYIKA MALIPO BAADA YA KUFIKISHIWA MZIGO KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM PEKEE, ©Usafi...