Fursa ni nafasi ambayo ukiifanya inakuingizia kipato.Kazi ni shughuli yeyote anayoifanya mtu inamuingizia kipato halali.
Fursa nyingi za kazi zinazopatikana Tanzania,ambazo mtu ukizingatia utajiingizia pato la siku,mwezi,wiki,mwaka.
Fursa za kazi ni aina ya kazi ambazo za kimtandao,zinahitaji mtaji.Mtaji wake ni watu,ambao utakaoshorikiana nao kutimiza malengo.
Leo naelezea kuhusu fursa za kazi kuhusu maswala ya Afya.Hii ni ajira kubwa sana kwasasa nchi za Afrika hasa Tanzania.Kutokana na changamoto ya maradhi mengi Duniani,matajiri na wawekezaji wameandaa mifumo huru ya kibiashara,ikilenga kuboresha maisha ya watu,afya na utajiri.Pia wameandaa mfumo maalum ambao mtu anaweza kufanya muda wake wa ziada bila kuathiri shughuli nyingine.
Kila Taasisi au kampuni ya afya inautaratibu wake wa kufanya kazi.Lakini zote unapoingia lazima uudhurie semena\mafunzo angalau Mara moja,uzuri mafunzo ya siku moja tu unaweza kueelewa kwa asilimia kubwa.Utapata maelekezo na mfumo wao unavofanya kazi.
Kuna Taasisi baada ya kujiunga inakupa bidhaa alafu wewe umtafute mteja umuuzie kwa bei ya ziada,ile ya ziada utachukua.Nyingine hupewi bidhaa lakini kazi yako kutafuta mteja na huyo mteja unamuelekeza ofisini anapatiwa huduma na malipo yako utayakuta ofisini.
Kampuni ya Eternal International health & wealth Care, hii ni taasisi ya afya,mmilika ni mchina na makao makuu yapo Shanghai China.Hii kampuni kubwa Duniani bidhaa zake zinapatikana zaidi ya nchi 160 ulimwenguni kote.
Hii kampuni inasaidia sana watu wengi kujiajiri na kujiongezea kipato kutokana na mfumo wake wa kufanya kazi.
Cha kwanza mfumo upo kwa madaraja 1-12,ambayo mwanachama anayejiunga atayapitia ili kupata zawadi mbali mbali.kuna zawadi za gari,nyumba,,safari nje ya nchi,pesa nk.Hatua zote utazipata kwa mpangilio na speed ya kujituma kwako,haibani muda wako utafanya matangazo kupitia simu yako.
Hapa unapojiunga unakuwa mwanachama,baada ya hapo utapata uniform na kitambulisho.Utafundishwa bure kuuandaa tangazo ambalo litawavutia wateja kwenda kupata huduma,ambazo vipimo,tiba na kuboresha afya ya mwili na akili.Utaifanaya hata ukiwa kazini,nyumbani na utapigiwa simu utawaelekeza wataenda au utawapokea kwenda kupata huduma.
Mteja atakayenunua dawa kuna PV utapata ambazo ndio zinazounda madaraja na kila xawa inakuwa na 25PV-50Pv,kwahiyo 100Pv daraja la kwanza,200PV la pili nk.
Itakusaidia kwenye zawadi kama simu,mabegi,dayari,pesa na kubadili maisha yako kabisa.
Pia unatakiwa uwaalike watu wapewe mafunzo na watajiunga pia unapata pesa kila mtu sh.20000,na pia PV zao zitajumlishwa na zako kwenda madraja ya juu zaidi.
Changamkia fursa za kazi hii hutembezi bidhaa mtaani,hapa mteja mwenye ndie anaenda labda ameshafika sasa anataka dawa umpelekee basi utampelekea ili upate pesa na PV zote pesa hizo.
Ukitaka kujua zaidi fursa hii namba ya simu ipo chini hapo utaelekezwa na ufike kwenye semina siku za jumatatu,jumatano na jumamosi SAA 9:30 asubuhi.
SIMU: 0785322941