Ugonjwa unaweza kuambukizwa kwa njia nyingi,baadhi ya njia hizo ni hewa,kugusana na mgonjwa,kula na mgonjwa na ulaji wa nyakula.
MAGONJWA YA KUAMBUKIZAππ½ππ½ππ½
Yapo magonjwa ya kuambukiza Kama haya Surua,Tete kuwanga,Polio,Kifadulo,Pepopunda,Kifua kikuu,Ukimwi,Ebora na COVID 19ππΎππ½
A.SURUA ni ugonjwa ambao unaoshambulia zaidi watoto wenye umri chini ya miaka mitano,Watoto wenye unyafuzi na nyongea ushambuliwa kwa urahisi zaidi na huenezwa kwa njia ya HEWA.
DALILI YA SURUAππ½ππ½
.Macho kua mekundu,
.Hua na homa kali zaidi ya siku tatu,
.Kuota vipele zaidi kinywani na baadae kuenea mwili mzima,
.Kuharisha na kutapika.
KUZUIA SURUAπ€ππ½
.Watoto wapate chanjo ya surua
.Watu wanaougua surua watengwe na wazima
.Wasio kua na Surua wasishirikiane vyombo na nguo na mgonjwa ambaye ana surua.
B.KIFADURO huwapata zaidi wototo wenye umri wa miaka miwili,na huenezwa kwa njia ya KIKOHOZI
DALILI YA KIFADUROπππ½ππ½
.Kikohozi kikavu
.Kushindwa kuvuta punzi vizuri
.Kupata maumivu kooni
.Uso wake kuvimba na
.Huwa na mwili dhaifu.
KUZUIA KIFADUROππππ½
.Watotoπ¨π¨π§π¦wapate chanjo
.Makohozi na makamasi yatupwe chooni
.Watotoπ―wenye ugonjwa wasichanganywe na wazima.
C.DONDA KOO ni ugonjwa unaoambikizwa kwa bacteria waitwao BASILA na kuenezwa kea njia ya HEWA
DALILI YA DONDA KOOππππ½ππ½
.Kua na vidonda kooni
.Kuwa na homa kali
.Kua na mafua na kichwa kuuma
.Kushindwa kumeza chakula na kupumua vizuri.
KUZUIA DONDA KOOπ€π€
.Mgonjwa apelekwe kliniki kupata chanjo na mgonjwa apewe matibabu.
D.TETEKUWANGA ni ugonjwa unaoenezwa kwa VIRUS na huenea kwa kugusana na mgonjwa mwenye tetekuwanga.
DALILI YA TETEKUWANGAππππ½
.Mwili kutetemeka
.Kupata maumivu ya mgongo na
.Kuwait na vipele mwilini
KUZUIA TETEKUWANGAπ€π³π³ππ½
.Mgonjwa atengwe na wenye AF ya
.Anaye hudumia awe amepata chanjo
.Nguo za mgonjwa zisivaliwe na wenye AF ya na
.Mgonjwa apelekwe Hospitalini au kliniki.
E.POLIO ni ugonjwa unaolemaza viungo,huenezwa kea njia ya MAJI na VYAKULA
DALILI YA POLIOππππ²
.Huumwa kichwa na mwili wore
.Kupata homa kali kuharisha na kutaika
.Shingo na miguu ya mgonjwa kukaza
KUZUIA POLIOππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½
.π¬π¬watoto wapewe chanjo
.Maji ya kunywa yawe safi na salama
.Vyoo viwe safi na
.Wagonjwa wapelekwe hospitalini.
πππkuna magonjwa mengi ya kuambukiza Kama CORONA na mengineyo,usiache kutembelea ukarasa huu kufahamu mambo Mambo mbali.jiandae kwa maada inayo kujia ππ½ππ½ππ½ππ½ππΎ