Adsterra netwok

https://www.effectiveperfomancenetwork./iimttpr57?key=9e991b2ffa81bb3fcdaa457a2bdb33ba

Saturday, July 3, 2021

JINSI YA KUONGEZA ACCOUNT NYINGINE YA GOOGLE ACCOUNT KWENYE SIMU YAKO

 JINSU YA KUFUNGUA NA KUA NA AKAUNTI ZA GOOGLE ZAIDI YA MOJA KWENYE SIMU

      Leo nataka ufaham jinsi ya kuongeza google account kwenye simu yako ya #SMART.Simu janja zina uwezo wa kusapoti Internet vizuri,kutokana na uwezo wake unapokua nayo inapaswa uifungulie Email ambayo itaongeza ufanisi wa kimtandao #Internet na ulinzi au usalama kwa mtumiaji pia iwe ngumu hata kwa wadukuaji wa kimtandao.

      Baada ya kufungua google account yako ya awali sasa unahitaji upate google account nyingine ili zote uwe nazo kwa mahitaji yako inakubidi uzingatie maelekezo haha:

       HATUA KWA HATUA ZA KUONGEZA                    GOOGLE ACCOUNT KATIKA SIMU.

Kufungua google account;

       Chukua simu yako,simu hiyo inamafaili kati ya hayo mafaili angalia sehemu iliyoandikwa Gmail,ibonyeze na itatokea vipengele kadhaa lakini hivyo havikusu kwa sasa ila angalia juu upande wa kusho utaona vistari vya ulalo ni apo kalibu na maneno yaliyoandikwa search mail,lakini zingatia kubonyeza vivyo vistari tuu.

   Baada ya kubonyeza vitakuja vipengele Vingi lakini unatakiwa ushuke adi uone neno limeandikwa Setting na ulibonyeze,

    Baada ya kubonyeza litakuja meno  limeandikwa Add account pia libonyeze na utaona neno limeandikwa Set up email,

 Set up e-mail ni sehemu inayokusaidia kuchagua aina ya e-mail unayotaka kutumia kwa mfano Gmail,Yahoo nk.

   Bonyeza mahali palipokua na neno Gmail na kitakuja kioengele kimeandikwa Create account,pia bonyeza na yatajitokeza maneno mawili ambayo ni "for my self" na "to manage my busness".

   Maneno hayo yanapojitokeza wewe bonyeza neno for my self,na itafunguka na kuja maneno Enter your name,na utaanza na jina la kwanza na kumalizia kwa jina la pili mfano wewe unaitwa Google David hapa jina la kwanza utaweka Geogle na David jina pili.utabonyeza next  na inaweza kutokea na emal kadhaa inayo fanania na majina uliyo yatumia kwenye usajili huu.

   Wewe nenda kubonyeza mahara pameandikwa Create your own Gmail address,apo unaweka majina upendavyo lakini hakikisha haifanani na mtumiaji mwingine,kama imetokea imefanana aikubali hadi uweke utofauti japo kwa udogo mfano; mrprofileofficial@gmail.com na  uta next mwisho inajisevu! 

   Baada ya kumaliza kuongeza gmail kwenye simu yako sasa unaweza kuanza kuitumia.

Imani yangu umeelewa vema ningependa kama utaacha comment na kama kina mahala umekwama kufungua google account nyingine,usiache kutembelea humu ndani mwisho wa somo letu hili ndio mwanzo wa Mada ijaayo🤔

Kitanda free delivery

 @kitandafreedelivery  Piga/SMS/WhatsApp: 0785322941 YANAFANYIKA MALIPO BAADA YA KUFIKISHIWA MZIGO KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM PEKEE, ©Usafi...